Biggest female artists of the century according to Billboard

Sijajua hii orodha inazingatia nini, wakongwe kina mariah carey, lady gaga, nick minaji wako chini wamepitwa na watoto wadogo walioibuka juzujuzi kina taylor swift

Lady gaga na Nick wapo kwenye list sikumbuki namba ngapi, ila akina Mariah ni era ya kina witney na celine hiyo ni 20th century!
 
And Whitney Houston is not there, fvck the list
 
Chaajabu walio kwenye list wote wanafanyia mziki wao USA... naamini kuna wakali zaidi yao shida they not from USA!
Au ni list ya WaAmerica tu?
 
Christina Aguilera...
Namkubali sana "oh mother"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…