Ujumbe umefikaChambua
98 uto alipata fedhea 😆Ujumbe umefika
Sasa huu utabiri gani huu?
Hiyo ni caf wenyewe ndiyo wamepost by the way 5 ni chache kuliko 6 au 7Tuwekee na timu zilizopigwa Khamsa na Waarabu.
Kuna timu ilipigwa 5×2 sioni hapo kwenye mkeka
Unaanzaje kuongea bila ruhusa ya Msemaji wa Azam na Tabora United?Tuwekee na timu zilizopigwa Khamsa na Waarabu.