hahaha anataka waende wote wakaangalie mazao yao shambani huku wameshikana mkono with a big smiles!:teeth:Habari yake Mama kubwa....unamtafuta hatibreka au?
Lile darsa halijaisha Mama B...hunitafuti?
rr umesemaje we mwanaume?
sasa adhabu yako nakununia kuanzia xmass mpk new yr ..na autaenda popote ntakufungia seblen ntakachokuachia ni remote tu bas..sim zote ntazifungia....mama bg hafai...nimewaruhusu mpeane darasa kwa semester moja sasa mwataka kuifanya kozi ya miaka mitano?ata inginiaring haifany ivo...!!!!
andika msg sema pole mama bg nilikuwa nakutania....la sivyo maji utaita mma leo...I SAID.
Hivi huyu Bigirita ni yule mwandishi wa vitabu vya Uzazi wa Mpango...right?
rr umesemaje we mwanaume?
sasa adhabu yako nakununia kuanzia xmass mpk new yr ..na autaenda popote ntakufungia seblen ntakachokuachia ni remote tu bas..sim zote ntazifungia....mama bg hafai...nimewaruhusu mpeane darasa kwa semester moja sasa mwataka kuifanya kozi ya miaka mitano?ata inginiaring haifany ivo...!!!!
andika msg sema pole mama bg nilikuwa nakutania....la sivyo maji utaita mma leo...I SAID.
Pole Mama B nilikuwa nakutania.....(Mama B twende chemba basi)
Usimfanyie hivyo mwenziyo tafadhali, Mpunguzie adhabu! Mimi naweza kumwekea dhamana.
gud.
mwambie MAMA HAPEND....na usinichokoze tena...
Habari yake Mama kubwa....unamtafuta hatibreka au?
Mama kubwa habariii yako banaaa leo imekuwa vice versa juzi(ijumaa) kwenye kikao tulitoa mwongozo wa kukutafuta tukurudishe kundini maana naona umekimbia, ila huyu bigirita(hatibreka) muda si mrefu ataonekana tu
Oh! kwanza uwe tayari kuwasamehe, halafu kama ni kufidia basi nitasimamia walipe haraka. Hizo adhabu kali mno kwa watoto wa mwanamke mwenziodhamana gan?
iseme labda ntakuelewa kwa niaba yake...niliwapa semester moja sasa naona wanataka kuunganisha na koz ya phd apa apa ...wakat nawaona...
Nisaidieni namba za BABA Askofu!apana.ni yule mtoa vizazi vya kike.
anapenda sana kufanya safari na akifika kati kati ya safar anasimamisha tukutuku na kuzindika kichaka.
ana pilipili na hoho kwenye friji la mama bg
anapenda kutoa lami na kuweka vumbi
ha hahaha!!!!!!!Mh! Ngoja nikimbie mara moja maana huo uamuzi hata nikasahau adhabu zenyewe ulivyozipanga.
Nisaidieni namba za BABA Askofu!
Nimegundua kuna mtu anahitaji toba kabla ya Parapanda hapa!