Elly Andrew
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 411
- 175
JE WEW NI MWALIMU MWAJIRIWA NA UNGEPENDA KUFANYIA KAZI MAENEO YA BIHARAMULO MKOANI KAGERA nawe uko DODOMA? NITAFUTE KUPITIA 0766327457 AU elbinmuna@gmail.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi natafuta mwalimu idara ya sekondari wa kubadilishana anayetoka mikoa ya Singida na Manyara aje wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma.nitafute kupitia 0765070911
ndo hivo ndugu yangu huu mwaka wa tatu sasakijana wa nyumban nawe walikutupa mbal kias hcho?pole sana
Eti mie hufikiri kua Mtumishi wa Serikali anatakiwa kuwa tayari kufanya Kazi sehemu yoyote ile Tanzania,Maana Nchi ni yetu sote,kumbe Mambo ni tofauti?
ndo hivo ndugu yangu huu mwaka wa tatu sasa
eti mie hufikiri kua mtumishi wa serikali anatakiwa kuwa tayari kufanya kazi sehemu yoyote ile tanzania,maana nchi ni yetu sote,kumbe mambo ni tofauti?
unaweza kuwa tayari but unaoenda kuwatumikia wasiwe tayari...
sababu kuu hapo ni moja tu,unataka kurudi kwenu make navyojua hakuna sehemu zimekuwa shida na hazina walimu wa kutosha kutokana na jiogrfia na mambo kama ya uchawi kama baadhi ya maeneo ya kigoma na rukwa kwa hapa tz lakini wapo watu wanavumilia wanakaa na kuna mfano dhahiri tena kupitia hapa jf mwalimu yuko ngara akataka kurudi kwao rungwe,mbeya akampata mtu yupo sikonge,tabora huyo jamaa alighairi kwenda
unaweza kuwa tayari but unaoenda kuwatumikia wasiwe tayari...
JE WEW NI MWALIMU MWAJIRIWA NA UNGEPENDA KUFANYIA KAZI MAENEO YA BIHARAMULO MKOANI KAGERA nawe uko DODOA? NITAFUTE KUPITIA 0766327457 AU elbinmuna@gmail.com
bwana, mie nipo dom pande za chako ni chako ila siutaki unafiki wa mwl, dauda. Hongereni kwa kombe la mbassa. Halmashauri mkala sita toka kwa home boys.
ok,if that happens,then what to do? Au suluhisho ndo kuwakimbia mkuu! Mie eti nafikiri kua sisi tumejaliwa kusoma ili tutatue matatizo ya jamii zetu na wala si kuyakimbia,am i wrong up to this point?
Mhhhh,ok!ndugu hzo theory tu sehem zngne hazfanyi kazi,hata hvyo watu wanatofautiana ktk kuyatazama maisha na nguvu ya kuyakabili mazngra. 1day ntakuja kuyashuhudia hapa na anayepafahamu atakiri juu ya wanamahanga,wananzengo,nyamahuna,katahoka,kalenge,nyamigogo aka mbogoshi nk.
unaweza kuwa tayari but unaoenda kuwatumikia wasiwe tayari...
umeona eeeh wakat mwngne sio uchawi tu, ila kwa kuwa wew ni wakuja au mtumish utakiona aisee mwanzon mambo hayo nilikuwa nayaskia tu kwa watu but now live