Elly Andrew
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 411
- 175
- Thread starter
-
- #21
tulia (bianamlo) wewe, au umechoka kula ndizi na ndimasi? Nitakuombea wakupeleke kata ya bisibo kijiji cha kiluluma au siyo
achaujinga sema mengine biharamulo hakunamambo ya uchawi
elly andrew kama umeshindwa kuishi biharamulo basi wewe ni kilaza na huwezi kutoka kimaisha,mtumishi gani wewe unashindwa kuishi biharamulo?
Ninamashaka na wewe! Ngoja nianze kukufanyia kazi
ukishindwa maisha biharamulo usitegemee kuyapata hata huko unako taka kwenda, mi nimetoka mwanza nyamanoro mwaka wa 8 niko b/mlo, sitegemei kuondoka, unakataa kuishi ktk vijiji ulivyo vitaja unataka nani akaishi huko?. Ushirikina upo kila sehemu.