PreGE2025 Biharamulo: Gari lililotolewa na mbunge kusaidia limekuwa na tija kubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
GARI LA HUDUMA JIMBONI BIHARAMULO.

Mara baada ya kuingia madarakani mwaka 2020 mbunge wa biharamulo Mh Eng Ezra John Chiwelesa kwa moyo wake mwenyewe alichangamoto ya usafiri jimboni hasa kusafirisha vifaa vya ujenzi na misaada ya kibinadamu na kuamua kutoa gari lake likae jimboni moja kwa moja na kufanya shughuli za kibinadamu .

Gari hili limekusehemu ya tija katika kupambana na kero za wananchi, gari hili limekuwa likitumika kupeleka vifaa kwenye kata zote jimboni ,mashuleni ,katika vituo vya afya, zahanati na n.k

Gari hiki pia limetumika katika shugli za maziko na sherehe, ofisi ya mbunge jimboni ndio huratibu safari za wapi gari liende kutumikia wananchi.

AKIAHIDI ANATEKELEZA KUWA SHAHIDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…