William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Umeshaanza kuleta za kuleta ili kutishia watu wanyamaze wasiseme, ukirudishiwa kibao unaanza kulia na kuita safina.
Acha vioja u mtu mzima sasa.
Wanajamvi,
Katika mjadala huu nimebaini kuwa kuna watu hapa jamvini hukomalia (kuwa negative) na zile issues ambazo hawana maslahi nazo. Lakini kija issue ambayo iko wazi kabisa hata kwa mtoto mdogo wao watajifanya hawaioni. Suala la Mukasa ni la kisheria zaidi bila kujali amefanya nini nchini au amesoma wapi au wazazi wake walikuwa maafisa serikalini. Kuna mchangiaji mmoja anamtetea sana Mukasa, lakini siku za nyuma kidogo aliweka mtundiko hapa akisema tatizo la watanzania ni kutofuata sheria (kutoheshimu sheria) lakini leo huyo huyo hawezi kuona kuwa Mukasa inawezekana hakufuata sheria ya kuukana urai wa wazaziwe alipotimu miaka 18. Naombeni kama jambo liko wazi tukubali makosa hata kama linamhusu mtu au kikundi ambacho una maslahi nacho, itatusaidia sisi wachanga hapa JF kuwafuata nyinyi kama mifano mizuri kuliko mnavyofanya sasa.
Wewe ndo huna maana na meno yako yaliyooza. Sasa you dared me. I'm a certified wingnut. Stay tuned for the nukes garden tool
Sitaji, taja......
...umeunga bandwagon la kina sheikh Yahya feki, ukiiga tembo ...... utapasuka msamba.
Umefulia si chochote si lolote, huna maana. Hebu pisha huko.
- Another Hillarious.......Bwa! ha! ha! mimi ni mtuzima siajwahi kutishia mtu nyau, huwa ninafanya kweli you know that! bring it on! ukileta mapigo ninajibu mapigo tena kiroho mbaya sana, ila ukija na hoja hamna noma uamuzi ni wako kusuka au kunyoa! Siogopi mtu!
Mambo ya mtu kupelekwa utamu yeye na dadake yamekujaje humu kama sio utoto. Naelewa kwa nini uko mdaku daku na mkuda kuda, kumbe ulikuwa na respectable member mpeleka data UTamu....bwa ha ha ha ha haaaaa.
Kumbe Sheikh Yahya feki ajijua, maana ajireveal kabla hajatajwa.
I will be here 2morow so nione hizo hoja zako za kikuda, acha nikajimwage viwanja leo ijumaa.
Tena beach pale pale alipokuwa Mac D.
FMES anazo data za kwanini walikesha hata hawakulala kwao. Kama kweli FMES una mapenzi na nchi hii sema yote. otherwise unaniyeyusha kinoma.
- Wewe furaha yako ni ligi zisizokuwa na faida kwa taifa, kama una ushahidi uweke hapa mkuu tuuchambue na nitakuunga mkono, tupunguze longo longo na ligi zisizokuwa na masilahi kwa taifa.
- Oscar ni kijana anayeonyesha kwamba ana umakini, ninaridhika sana na Cv yake, sijui ya uraia kama kweli ana matatizo ya uraia anatakiwa akae pembeni na arudishwe kwao mara moja, lakini sheria ifuatwe sio kumuhukumu kwa maneno tu, kama kwa kuwa na huu msimamo ninakuyeyusha I am not sorry mkuu, tuendelee kukata ishus hapa.
- Ningekuwa na tatizo na dataz na chama changu nisingezileta hapa.
Respect.
FMes!
Mambo ya mtu kupelekwa utamu yeye na dadake yamekujaje humu kama sio utoto. Naelewa kwa nini uko mdaku daku na mkuda kuda, kumbe ulikuwa na respectable member mpeleka data UTamu....bwa ha ha ha ha haaaaa.
Kumbe Sheikh Yahya feki ajijua, maana ajireveal kabla hajatajwa.
I will be here 2morow so nione hizo hoja zako za kikuda, acha nikajimwage viwanja leo ijumaa.
Hapana mimi sijawahi kuishiwa mpaka nauli ya kwenda nyumbani kwetu, na kuishia kwenda kukopa kwa dereva, halafu kuja JF kuwaponda madereva na huwa sina udaku wa kwenda kujibanza kwenye vichochoro vya kazini kwa mke wangu, kuona kama kuna njemba mwingine anabeba, ingawa wanambeaa
FMES,
Sijakuelewa unaposema Mwalimu hakupenda sheria. Yaani ndiye aliyeleta utawala wa arnachy Tanzania?
Hizi tunaita ni pumba !
Kwenye Chuo Cha Mafisadi wewe ni dean wa faculty ipi? propaganda? Unazo data kwa kuwa ulisema hapa kama sikosei. Mzimu wa huyo Dr wa chadema au tlp naona unakunyima usingizi.
- Look here, Dr. Slaa alipowataja tu kabla hawajawekwa kwenye gazeti lolote la taifa nilikuwa na dataz nikaziweka hapa, sasa ningekua na tatizo nazo kweli ningezileta hapa?
- Kuhusu dataz tunapopewa dataz huwa tunaambiwa, zipi ni off the record na zipi ni on the record, sina dataz yoyote inayoweza kuthibitisha kwamba Oscar sio raia, na sijawahi kusema kua nazo.
Huwezi kuwa na tatizo maana Mkandala mlimuweka pale, RITA mliwatafuta ndo maana mkachelewa kulala. Ilikuwa kama zege kuwa kila mtu anawekwa sawa. ila zile karatasi za miaka ile mmezipata?
- Kwani mkuu naomba kukuuliza eti Mukandala ni nani Tanzania? Maaana simfahamu kiongozi yoyote Tanzania mwenye hilo jina, ni waziri au what na yupo wapi? Halafu hapa sijakupata unasema nini hasa what do I have to do na this stuff?
Kama RA mlimpa mtashindwa huyu?
- Yaani mimi nilimpa RA what? Mkuu mbona sikuelewi unasema nini? what this has to do na uraia wa Oscar?
Respect.
FMEs!
Tangu nijiunge na JF sijawahi kumuona mwana CCM naweza kusema aliyekunywa maji ya bendera lakini very objective zinapokuja issue za kitaifa kama FMES. Tunatofautiana sana..lakini jamaa kama ni mawe..hata kama ni mawe anawarushia CCM: Kudos mkuu FMES.
CHADEMA kama chama ambacho nafikiria kukipigia kura should do more than that. Kama wana data kwa nini wasizimwage wananchi wazichambue wenyewe?
Wengi hapa wanafikiria kwamba kuna wanaomtetea Mukasa sijui nani..I for One I dont..maana simjui..lakini unaona kabisa issue inavyochezwa..itawacost uchaguzi CHADEMA:
Nadhani CHADEMA wanahitaji akina James Calville wao...wawasaidie namna ya kucheza politics. Huwezi kuallege harafu unakwenda Dar Es Salaam..wakati wapiga kura wako huko Biharamlo..wewe wamwagie sera na ushahidi watakuelewa. Ukweli ni kwamba at times CHADEMA wanatuvunja moyo prospective voters. CCM haina mpya..lakini CHADEMA lazima waonyeshe kwamba ni tofauti.