I AM WHO I AM
Member
- Oct 18, 2012
- 49
- 35
Habari ndugu zangu.
Nauliza yeyote anaemfahamu marehemu Mzee Jaffari aliyekuwa anaishi maeneo jirani na stand ya Biharamulo. Alifariki miaka ya 2008 hadi 09. Alifuatiwa na mkewe mwaka 2010.
Pia kwa mkewe huyu alikuwa na watoto 3, wakike 2 na kiume 1. Moja ya watoto wake anaitwa Nana au Nadia na wa kiume Salim.
Yeyote mwenye kuhisi anataarifa za familia hii tafadhali comment namba zao za simu au jinsi ya kuwafikia.
Wakati mwingine wamekuwa wakienda Uganda na Rwanda kwa ndugu zao.