MWONEKANO WA KISASA WA SHULE YA MSINGI KUMSALI ILIYOPO KATA YA NYAKAHURA WILAYANI BIHARAMULO .
Wakati wa kampeni shule hii ilionekana kama ilivyo hapo juu wananchi wa kijiji cha kumsali waliamua kujenga madarasa kwa kutumia miti na udongo ili kuwanusuru watoto wao walikuwa wakitembea umbali mrefu kufuata elimu .
Wakati wa kampeni mgombea ubunge wa jimbo la biharamulo Eng Ezra Chiwelesa alifika hapo na kuahidi kujenga upya shule hiyo ambayo licha ya majengo yasiyo ridhisha ilikuwa na idadi kubwa ya wanafunzi.
Kazi ikapigwa na sasa wanafunzi wa shule hii wanafurahia matunda ya uwakilishi wa mbunge wa jimbo la biharamulo na serkali ya awamu ya sita ya rais Samia suluhu Hasan.
AKIAHIDI ANATEKELEZA KUWA SHAHIDI
Biharamulo inasema "Kazi na utu, tunasonga mbele na Chiwelesa.
Haya ndio mambo tunayataka ya maendeleo Kwa nchii hii ,CCM wange dili Kwa asilimia mia Kwenye vitu km hivi vya maendeleo na c kutoa roho za watu ,gwaji boy asingekuwa hata na Cha kusema pale madhabau kwakeee🤔🤔