UJENZI WA SHULE MPYA YA KISASA YA SEKONDARI - NYAKANAZI.*
Juhudi za mbunge wa biharamulo
Mh Eng Ezra John Chiwelesa zinaonekana hapa katani nyakanazi, ujenzi wa shule mpya na ya kisasa ya sekondari umekamilika na sasa wanafunzi wanaweza kufika hapa na kusoma na kupunguza mkwamo wa kwenda umbali mrefu kapata elimu kwa watoto wa kata ya nyakanazi.
Juhudi hizi ni majibu ya ilani za chama cha mapinduzi kwa wana nyakanazi na ishara ya kazi kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mh Samia Suluhu Hasan kujenga shule za kisasa nchini.
Mh mbunge wa biharamulo
Eng Ezra Chiwelesa amekuwa mbunge aliyeonesha uwakilishi wa tija katika kipindi kifupi kama mwakilishi wetu.
Shule hii ni moja ya shule za kisasa zilizojengwa kila kona katika jimbo la biharamulo magharibi katika miaka mitano uwakilishi wake wa sera ya kuinua elimu ya biharamulo kwa kasi .
Wazazi ,wanafunzi na walimu kwa sasa wanafurahia uwakilishi huu unaotia chachu maendeleo ya wilaya yetu.
Hakika Biharamulo inamuhitaji sana Eng Ezra Chiwelesa kuliko mtu mwi๐๐๐ฑ๐น๐ฟ
UJENZI WA SHULE MPYA YA KISASA YA SEKONDARI - NYAKANAZI.

Hakika Biharamulo inamuhitaji sana Eng Ezra Chiwelesa kuliko mtu mwingine yeyote ๐๐๐ฑ๐น๐ฟ

Hakika Biharamulo inamuhitaji sana Eng Ezra Chiwelesa kuliko mtu mwingine yeyote ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟngine yeyote