INAUZWA Bike size 20 for sale

CAPABLE GOD

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2020
Posts
258
Reaction score
278
Ni mtumba, iko poa sana
Bei ni 220,000~maongezi yapo

NB: Malipo ni baada ya kupokea na kukagua mzigo

Call/ normal text/ wasap #0622506787

 
But ukitafuta kwa utulivu, waweza pata nzuri hata kwa 400k
 
Nina baiskeli kama hiyo huwa nikiiendesha watu wananidiss wananiambia eti ni baiskeli ya watoto[emoji848]
Mkuu, fanya moyo unachopenda, cha msingi ni kwamba si dhambi, ukisikiliza vya watu, kuna siku watakuambia usilale na mke wako mkuu.
 
Bado ipo wakuu, karibu kwa mazungumzo, kwani kwani biashara zilizofanikiwa zilianza na neno "Habari"
 
KUMBUKA, MALIPO YOTE NI BAADA YA KUPOKEA NA KUKAGUA MZIGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…