Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,824
- 2,264
hi.. inasemekana kuna bikira za kutengeneza kwa wakina dada kwa kutumia dawa na jinsi nyingine tofauti!! je utazibaini vp tofauti ya hizi bikira??? maana ninamashaka na niliyomkuta nayo mchumba wangu!! ya ukweli au ndio kaniuzisha chaka nitangaze ndoa fasta????? wajanja wa mujini nisaidieni jamani...

unaoa kwa kua ni bikra au kwakua umepanga kuoa na mnapendana?
vijana wa siku hizi bana
Mimi mke wangu tumezaa naye watoto wawili lakini bado anabikira yake, ameitunza hadi leo.
Nami nilimsikia siku moja mkeo analalamika bikira yako ilikuwa fekihi.. inasemekana kuna bikira za kutengeneza kwa wakina dada kwa kutumia dawa na jinsi nyingine tofauti!! je utazibaini vp tofauti ya hizi bikira??? maana ninamashaka na niliyomkuta nayo mchumba wangu!! ya ukweli au ndio kaniuzisha chaka nitangaze ndoa fasta????? wajanja wa mujini nisaidieni jamani...
Ya mwanaume au mwanamke?Acheni nyie! Bikira ina heshima yake .. mnapoanza maisha Ndoa
Ya mwanaume au mwanamke?
mwanamke! mwanaume hana bikira.. kama mwanaume ana K sawa!
Acha matusi wewe, unapaswa uwaone wataalam ili wakuambie nini maana ya bikira, bikira ni kwa me/ke na si kama unavyodhani, ndio maana kuna upotoshwaji humu oh nimekuta hana bikira wewe ulikuwa nayo????