Bikira ndo inakuwa hivi??????????

Bikira ndo inakuwa hivi??????????

majogajo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
317
Reaction score
44
hi JF-MMU. hivi binti/mwanamke anaweza akaduu kwa siku ya kwanza(bikiriwa) na asitoe damu?..........nisaidieni maana kna binti mmoja aliniambia ni bikira ila tulivyo duu nae hata sikuona damu.
 
Haiihitaji kuuliza kujua kuwa umeibiwa...
 
ngoja nirudi nikamuulize demu wangu............nakuja eeeh
 
kutokana na michezo ya utotoni pamoja na kupanda sana baiskeli inawezekana ilitokea huko. Au ni bikra kwa kutokuingiliwa na mwanaume ila kajichua kwa vidole na ma dildo
 
We ulitegemea kibamia nacho kichane nyavu, bado ipo mule
 
tatizo lako mawazo yako yaliwaza kuona damu sio kutoa bikira, bikira siku hizi sio inshu
 
kama ndo yule wa mtaa wa kati mi mbona nsha mmaliza kitambo, siku hiyo alitoka damu kibao.
 
hi JF-MMU. hivi binti/mwanamke anaweza akaduu kwa siku ya kwanza(bikiriwa) na asitoe damu?..........nisaidieni maana kna binti mmoja aliniambia ni bikira ila tulivyo duu nae hata ckuona damu.

Bikra/bikira kwa mwanamke ni ile hali ya kutowahi kuingiliwa na uume/mwanaume kabisa...lakini kinachotoa damu ni ule utando kama kangozi fulani hivi kitaalamu kinaitwa 'hymen' kinaporaruriwa pale uume unapoingia kwa mara ya kwanza. Hata hivyo, hymen inaweza kuraruriwa kwa sababu nyingine yeyote mfano kidole, toys, kazi fulani zinazohusisha misuli ya ndani sehemu za uke mfano kuendesha baiskeli etc....Hymen ikiraruriwa kwa njia hiyo haimfanyi mwanamke kutokuwa bikra (kwani ubikira sio lazima hymen), na atakapokutana na mwanaume kwa mara ya kwanza si lazima atoke damu (unless kama hymen ilikuwa partially torn).

Kwa hiyo tulia mkuu...umetoa bikra, japo hukuona damu!
 
Sio lazima!mara nyingi inatokea hivyo hasa kama amechelewa kuduu!
 
Me cjaelewa unazungumzia bikra ipi coz haya mambo ya pwani bhana yanachanganya ati?
Plz be specific bhana Mdau!
 
Back
Top Bottom