Pole patcho kwa masahibu yaliokukuta
Lkn ingekuwa vyema ukasema ni aina gani ya bia ulioitumia
Pole patcho kwa masahibu yaliokukuta
Lkn ingekuwa vyema ukasema ni aina gani ya bia ulioitumia
ni windhoek yenye laana ya Escrow
bikira wa kisukuma ni meneja uhusiano wa diamond,ndo yule alichat na profesa wa chuo kikuu kuulizia doctorate ya Diamond,na pia ni maarufu kwa kudhulumiwa na le mutuz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siyo wote mbumbumbu humu! Uvimbe wa allergy tunaufahamu vizuri sana!! Huo uvimbe wa Mwamba siyo allergy, ni wa kipigo!!!