Mwanamke huyo raia wa Congo, alieleza kuwa alijitolea maisha yake yote kuwalea ndugu zake na sasa yuko tayari kuolewa iwapo atapata mwanaume.
Akizungumza katika mahojiano na AfriMax, alisema: "Kilichofanya asiolewe ni kwa sababu sijapata mwanaume anayenifaa. Lakini nilipokuwa bado msichana mdogo, wanaume kadhaa walikuwa wakinifuata.
Nilichumbiana na watu kadhaa lakini nilikataa kuolewa kabla ya ndugu zangu kuhitimu kwa sababu Mimi ndiye nilikuwa nikiwatunza."
Chanzo: AfriMax