Bikra Imenifunga Mwenzenu!!

Pole sana kaka yangu, kumbuka kwamba ukitaka cha unguni sharti uiname na mvumilivu hula mbivu. Mimi nakushauli kwamba endelea kuvumili Mungu akipenda utakuja kujua ukweli uko wapi na uongo uko wapi?
 
kama bikira zinatengenezwa kwa seremala anayo,niliwahi kuvumilia kama wewe kwa mwaka mmoja tukakorofishana kama miezi mitatu hivi tukawa hatuongei tuliporudiana tu akanipa mzigo nikashangaa kitu myiuuuuuuu ndani kiulaiiini.baada ya gemu naona marangi rangi sirini halafu baada ya siku tatu ananiuliza ''unaamini umenikata bikira?''ndo nikamjibu kama zinatengenezwa kwa seremala basi nimekukata shtuka.
 
Pole sana kaka yangu, kumbuka kwamba ukitaka cha unguni sharti uiname na mvumilivu hula mbivu. Mimi nakushauli kwamba endelea kuvumili Mungu akipenda utakuja kujua ukweli uko wapi na uongo uko wapi?

Dah!Nashukuru Sana Dadangu Ila UVUMILIVU Una Mahara Pake Banah!
 
Pole sana kaka yangu, kumbuka kwamba ukitaka cha unguni sharti uiname na mvumilivu hula mbivu. Mimi nakushauli kwamba endelea kuvumili Mungu akipenda utakuja kujua ukweli uko wapi na uongo uko wapi?
 
unaona Eeh!...na Ndio Maana Nami Nafanya Mchakato Ila Mimi Siwazi Kumkimbia Kwa Namna Yoyote Nitakayomkuta Nayo
Vp Wewe Uliendelea Nae?
 
Mh!Kumbe Mimi Mshika Pembe?
Asalaleku Walah!...mapenzi Haya!!?

Sio kwamba hataki,bali anaogopa,m'bane tumbukiza nyama uone........tena utashangaa kama hajaanza mauno....halafu chungulia kama 0655 iko salama...usikute anatumia 0713
 
Majigo I bet, utapewa ushauri mwingi hapa Jukwaani. Lakini angalia ushauri kama huu wa Rahim ni wa kupotosha!
 
Sio kwamba hataki,bali anaogopa,m'bane tumbukiza nyama uone........tena utashangaa kama hajaanza mauno....halafu chungulia kama 0655 iko salama...usikute anatumia 0713

0655 Tena?...nimechoka Jaman Dah!
 
Reactions: SMU
ndo maana vijana wenzio tunadeal na mipango kando a.k.a magendo,hakuna ndoa ni ndoano mwa mwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…