Bikra Na umuhimu wake ktk mahusiano Na ndoa

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Bikra bikra!

Enzi za kale babu zetu walihakikisha watoto wao wanatunza bikra zao hadi siku ya ndoa!

Binti aliyejitunza alionekana kuwa ni bora zaidi Na heshima kubwa kwa wazazi wake!

Njia mbalimbali mfano kutandika kitambaa cheupe ilitumika siku ya kwanza ya fungate kujua kama binti amekutwa bikra au la!

Iwapo ikikutwa damu furaha vigelegele Na nderemo vilitamalaki nyumba nzima!

Mume aliona amepata mke kweli.

Kadiri miaka inavyosonga mtizamo Wa jamii unabadilika!
Sayansi imefanya uwepo Wa bikra bandia!

Je bikra bado ni njia nzuri ya kumtambua mke bora!

Wanawake walioolewa Na bikra Na wale waliozipoteza kabla maisha Na mtizamo Wa wenza wao ni Upi!

Wanaume waliooa bikra watueleze experience!

DJ sepetu
 
Nilifurahi kuingia ulimwengu wa kukata viuno. Maana ilikuwa na kutu nimegraduate nimepata mshahara wa serikali ipo! Halafu hainifaidishi chochote. Ila ukata huu bora ingekuwepo ningeiuza kwa King Mswati nkapata mtaji aisee MBITIYAZA
[emoji23] [emoji23] aliyeutoa ndiye aliyekuoa!

DJ sepetu
 
Bikra bikra!

Enzi za kale babu zetu walihakikisha watoto wao wanatunza bikra zao hadi siku ya ndoa!

Binti aliyejitunza alionekana kuwa ni bora zaidi Na heshima kubwa kwa wazazi wake!

Njia mbalimbali mfano kutandika kitambaa cheupe ilitumika siku ya kwanza ya fungate kujua kama binti amekutwa bikra au la!

Iwapo ikikutwa damu furaha vigelegele Na nderemo vilitamalaki nyumba nzima!

Mume aliona amepata mke kweli.

Kadiri miaka inavyosonga mtizamo Wa jamii unabadilika!
Sayansi imefanya uwepo Wa bikra bandia!

Je bikra bado ni njia nzuri ya kumtambua mke bora!

Wanawake walioolewa Na bikra Na wale waliozipoteza kabla maisha Na mtizamo Wa wenza wao ni Upi!

Wanaume waliooa bikra watueleze experience!

DJ sepetu

Hivi hizo bikra kwa miaka hii zipo? naona tuanzie hapo usije kukuta kuna evolution changes kwenye maumbile ya kike. Kifupi utakaona katoto tu lakini dahh.
 
Back
Top Bottom