Mimi najiuliza je na huyo mume wangu atakuwa bikira? Ili tuende sawa
Au mimi ndio natakiwa niwe bikira alafu yeye awe ameshagonga za kila aina mjuzi wa bwawa, mnato na zinginezo, bado najiuliza maswali mengi sana hapa.
Yani we dada upo peke yako hapa jf cjaona kama wewe. I like you.Sema walioitoa. Maana mmoja aligusa gusa juju akaacha, baadae akaja mwenzake akamaliza mchezo. Walifaidi nusu kwa nusu sasa wote wanagombea mimi ndiye nilikutoa haha
Mimi najiuliza je na huyo mume wangu atakuwa bikira? Ili tuende sawa
Au mimi ndio natakiwa niwe bikira alafu yeye awe ameshagonga za kila aina mjuzi wa bwawa, mnato na zinginezo, bado najiuliza maswali mengi sana hapa.
Tuko wengi sema wanakufa nayo kifuani kusema hawawezi wakati hata haitarudi.
Mods naomba mbadilishe kichwa cha Uzi kiwe"dada ulijisikiaje ulipopoteza ubikra wako!?
DJ sepetu
Bikra bikra!
Enzi za kale babu zetu walihakikisha watoto wao wanatunza bikra zao hadi siku ya ndoa!
Binti aliyejitunza alionekana kuwa ni bora zaidi Na heshima kubwa kwa wazazi wake!
Njia mbalimbali mfano kutandika kitambaa cheupe ilitumika siku ya kwanza ya fungate kujua kama binti amekutwa bikra au la!
Iwapo ikikutwa damu furaha vigelegele Na nderemo vilitamalaki nyumba nzima!
Mume aliona amepata mke kweli.
Kadiri miaka inavyosonga mtizamo Wa jamii unabadilika!
Sayansi imefanya uwepo Wa bikra bandia!
Je bikra bado ni njia nzuri ya kumtambua mke bora!
Wanawake walioolewa Na bikra Na wale waliozipoteza kabla maisha Na mtizamo Wa wenza wao ni Upi!
Wanaume waliooa bikra watueleze experience!
DJ sepetu
Eee
DJ sepetu
Hapana, nlikuwa mgumu kijijini nimechunga ng'ombe, nimekata mkaa, baiskeli nishaisimamia Phoenix hakuna damu. Ila njia ni ngumu hatari utahisi roho inatoka jamani. Tuachie hapa.Hivi aliyekutoa Bikra si aliyekugegeda damu ikatoka au
Wape yako maana kama hujaiuza unayo pia. Maana hizi tumejaaliwa wote.Wape tu wajishindie[emoji23]
DJ sepetu
Ni mfano tu maana ukiwa Zimbabwe wanaweza fanya watakaloKwa hiyo una maana Roma...
DJ sepetu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Zamani kabla hujaoa unaitwa ukweni ulale halafu mwanamke kesho aulizwe kama uko vizuri sasa sielewi ilikuwa inakuwaje.
Duuh hatar sana aiseeh bora nizibuliwe mapema tuu no way outUkijiuliza ya mmeo utapata ugonjwa! Maana kuamkia siku ya ndoa analala kwa demu wake amuage maana ana oa
Mhhhhh mbona unanitishaaaaBikra ni kama kuwa wa kwanza kuvaa shati ukilifua mwingine analivaa