Bikra siyo chanjo ya kuchapiwa

Bikra siyo chanjo ya kuchapiwa

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wasalaam JF,

Mtengeneza njia ni mmoja kwa matumizi ya walio wengi.

Mwanakulianza ni mwanamajumui wa kugawa upendo. Ulivyopewa wewe bila mbambamba hata bustani ya Eden nyoka aliwekwa kwa tafsiri yake.

Tuwasifie na wanaotupokea vijiti upele.

Wameupiga mwingi.

Wadiz
 
Duuuh hata sielewi umeandika nn sijui nna njaa khaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amemaanisha ukishagundua wamekuchapia mkeo wewe furahia tu mshukuru aliekuchapia mkeo maana bikra haina QR Code yaan haukumkuta na bikra wahuni walishaga mkwangua kitambo sana wewe umekuta kashabanduliwa enzi na enzi, au hapo pia bado haujaelewa?
 
Oooh hapo sawaa ndo nimeelewa sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bikra haihusiani kabisa na tabia njema ya Ke na haikaagii milele zote.

Yani bikra hufanana kwa 100% na ile kauli ya "Hata Wapumbavu pia huzeeka".
 
Wanawake akili yao wanaijua wenyewe.
#KATAA....malizieni wenyewe
 
Duuuh hata sielewi umeandika nn sijui nna njaa khaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo sio Mh wa Kibaha kwel

Mbona mwandiko wake kabisa huu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Fumbo lipo kwenye "mfungua njia ni mmoja ila wapita hiyo njia ni wengi" hapo umepatia! Swala ni nani afungue njia!!
 
Back
Top Bottom