Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Kama wewe mwenyewe ni bikra basi bikra mwenzio utamjuaNdugu zangu, Kuna kabinti nili fall in lo❤️. Sasa kila nikiomba mchezo kanadai kenyewe bado, yani bikra, dah nikasema sawa.
Sasa Huwa na dada angu wa mjini, si nika mpa stori akanipongeza ila akanambia nimuoneshe wifi, nikasema sawa, EEH bhana ninemuonesha TU hivi alipo MUONA akaguna mmh.
Nikapata wasi nikamuuliza vipi, akadai sura si ngeni ni kama Alisha MUONA na mwana kijana mdogo mwenzake, akanambia hivi, pambana uitambue hiyo bikra kwanza na mashaka, nika mwambia sijui kuitambua akadai Kuna dawa ya asili inaitwa inarudisha bikra, waulize watu mbinu ni nyingi.
Nikawakumbuka watu wangu wa nguvu jf, pliz nielimisheni.
Kaka KUULIZA si ujinga nataka nieleimishwe kakaBikra yake we ya nini?
EWeTry ur luckView attachment 3601426
Kaka KUULIZA si ujinga nataka nieleimishweBikra yake we ya nini?
Nami nimeuliza pia, nikitaka nielimike na nikuelimishe piaKaka KUULIZA si ujinga nataka nieleimishwe
Jina la dwa naifahamu ila hapa nataka nijue jinsi inavo kuaNami nimeuliza pia, nikitaka nielimike na nikuelimishe pia
No hajanituma dawa,ye alimamisha nijue bikra og na fake, niulize watu inavo kuamkazie huyo sstr ako amalizie story nzima, sasa kama kuna dawa na anaifahamu kwanini akutume kuuliza kwa watu
shida nini kwani?Na wewe mzee huwa unatomber?
EWe
Kweli dunia imevaa sketiOnja kwa ulimi, original inakua na ladha ya kachumvi kwa mbaliii; ila fake ina ladha ya ukakasi sana pamoja na uchachu kama magadi hivi
nimetetemeka baada ya kuona hiyo igfshida nini kwani?