Bikra yake imechukuliwa na doctor

Thinkerz naomben mnisaidie nnaweza kuendelea lkn kama je kanidanganya? Hata kuja kuwa hatari hapo baadae?
 
He,he,he,he,he!yaani mzee miaka saba unasubiri KUKATA UTEPE afu unakuta hola!,,any way nakushauri ondoa wazo la utepe imarisha penzi,usimuache.
 
Thinkerz naomben mnisaidie nnaweza kuendelea lkn kama je kanidanganya? Hata kuja kuwa hatari hapo baadae?
sio suala la kama kakudanganya.habari ndo hiyo umedanganywa ndugu.kama upo intrested mchunguze rekebisha vijitabia vichafu vyote alivyonavyo.after all kwa dunia ya sasahivi kupata mabinti wenye bikra nadra sana.kila la kheri
 
Nilitaka kusahau kukuuliza kitu,ulimuonaje "game" lake anakauzoefu ama ni LENA?NIJIBU PLS
 
Jamani zipo mm mbona ninazipata tena sana,mm mpaka sasa nishapata 3 na wala siyo mchina,na mwez wa 12 ninatarajia kupata nyngne kama 2.
Kwahyo siku hz zipo.
 
Sio ushamba wajameni mtoto alikuwa ameokoka, tena tulikuwa koz moja wala hakuwah kuonesha anamepotoka kimaadili.
Na wewe vp ulikuwa ukichakachua pembeni au ulikuwa mvumiliu miaka saba yote!kumbuka Hata walokole wana walokole wenzao watakaowatunzia sisi.we endelea naye tu.bikra isiwe ligezo pekee kwa mwanamke.
 
Pole kwa kusikilia pembe muda wote huo!
wenzako walikuwa wanajikamulia taratibu
 
ok! isiwe shida ni pm,nikuelekeze zinapouzwa za kichina abandike,uitoe roho yako itulie !
 
.....aiseee,jamani kuna wanaume wamezubaaa,lol,kama huyu!una miaka mingapi?
 
Black woman@ nlivumilia ili nije kuvunja kikombe ingekuwa kumega nisingesubiri siku zote izo.

pole kaka kwa kusubiri muda wote inawezekana kikombe kimevunjwa na wengine au mie sio dr inawezekana wakati alikwenda kuosha kikombe ndipo kilipovunjika mkono...........wataalam wanaweza kusaidia...........
 
duuuh...
miaka 7, mkuu sumu zilikuwa unyayoni nini???
 
Fabinyo c o kuzubaa bali binti hakuonesha dalil mbaya so nikamwamin mi mzalwa wa mwi2 ni mjanja wa manzse@ we mama wa kigogo ndo tabia gani hiyo? Huyu mchumba angu ni mgogo je kunatokea nini?
 
Alikuwa lena! kwan alipiga kelele nlipoweka akatulia baadaye alidai dam zlimtoka@chatu, nikimwambia tuonane tena ananizungusha sijui nighair?
 
Yaani kweli binadamu/wanaume tumetofautiana sana_yaani mtu miaka 7 unavumilia eti kisa ana bikra(kwani hiyo bikra haivunjwi)...lakn nafikiri ulikua unababaika kwa sababu kwao wana mkwanja,...kama vip vumilia tu ili uendelee kufaidi mkwanja ila ck zingine jifunze kuchangamka mapema kama ukiona vip wewe sepa...mambo ya mkwanja pambana utapata tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…