Bikra yake imechukuliwa na doctor

kwani unampenda yeye au bikira? Au hyo bikira inakuongezea au kukupunguzia nini?
 
Acha ulofa wewe, mi nagonga wapentekoste wawili mpaka sasa
 
He,he,he changa la mcho.bt km unampenda endelea tu kwan bikra k2 gn bana
 
Hii obsession yako ya bikra...kuwa mwangalifu....usije ukaishia kubaka watoto!
 
Kuna uwezekano alikuwa na mimba na siku mlipoenda hospital dr aliitoa
 
ahahaaaaaaaaaaaaaa bikra mbona hadi za kichina zipo... muamini tu mkuu kwanza ww inaelekea hauko serius hospitalini ni ugonjwa gani wa kuingizia watu vyuma kama si mimba??
 
Kwani na wewe kakukuta Bikra au kuna kitu kimngine unatafuta?
 
[/B][/COLOR]

ulichokuwa unataka ni bikira au kumega?

Huyu ni mmegaji mzuri tu ila inaonekana alikuwa na mipango ya pembeni wakati huohuo akisubiri muda muafaka kukata utepe. Sasa kwa bahati mbaya kakuta watu wameshamwahi kuukata tena ukute hata hawakutumia mkasi lol
 
Sio ushamba wajameni mtoto alikuwa ameokoka, tena tulikuwa koz moja wala hakuwah kuonesha anamepotoka kimaadili.
Nini? si wote wanaojifanya wameokoka ni waadilifu...utaokoka siku ya Hukumu mbele ya Mola anakapoku clear kuwa ni safi na hivyo kupelekwa paradiso na waliobakia watakwenda jahanam km kawaida; huku wengine wakitaharuki ' E bwana mbona waniacha wakati nilikuwa natenda kwa jina lako?'...
 
Huyu ni mmegaji mzuri tu ila inaonekana alikuwa na mipango ya pembeni wakati huohuo akisubiri muda muafaka kukata utepe. Sasa kwa bahati mbaya kakuta watu wameshamwahi kuukata tena ukute hata hawakutumia mkasi lol
nooo..! sio hivyo ndgu!
 

unamtaka mwanamke bikra kwani we unayo...? Ulishachakachuliwa nae amechakachuliwa.....miaka 7 then unataka kummwaga? Hapa ndipo naanzaga kuwachukia wanaume!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…