Bikra yake imechukuliwa na doctor

duu we fundii
 
Kuna watu wavumilivu...miaka 7 si haba!
Ila kama na wewe ulimsubiri na ulikuwa bikira, MWACHE. ila kama wewe ulikuwa unapiga vitu vyako...huna haja ya kumwacha!
 
Sio ushamba wajameni mtoto alikuwa ameokoka, tena tulikuwa koz moja wala hakuwah kuonesha anamepotoka kimaadili.

hakuonekana ana mume,hakwahi kuiasi dini,mfuasi mzuri wa maadili,lakini vipimo vinaonyesha binti sio bikira. dah!!!!! kweli duniani kuna mambo.ngoja nikusaidie, ipo hivi sahivi ukichukua mademu mia moja wa chuo huwezi kumapata bikira kwa vyuo vyote tanzania. sijui ww upo ulimwengu gani./? hujui kutambua mambo yanavyobadilika kwa kasi. et doctor alimuingizia vitu kama sio kutoa mimba alikuwa akifanya nini. huyo ni mzoefu.tatizo ;lako nahisi uliingia kichagachaga naye akaona akupige kwenzi.
 
Mkuu ulichokifanya for seven years ni kumshika mbuzi pembe huku wajanja wanaaa.........

ps: ulivaa condom?
 

duh umeua mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…