Bila elimu kuna sehemu huwezi ukafika, hii kauli huwa ina maana gani?

Bila elimu kuna sehemu huwezi ukafika, hii kauli huwa ina maana gani?

Bila kibunda kuna mahali huwezi kufika mpaka unakufa.
 
Elimu ndio maisha ila haikusudiwi ya shule tu, unaweza usisome shule ukavijua ving ambavyo waliosoma hawavijui, sasa huko kuvijua ndio elimu hiyo

Usisahau kupitia huu uzi kama wewe ni mpenzi wa simulizi
Post in thread 'SIMULIZI: Asali haitiwi kidole' SIMULIZI: Asali haitiwi kidole
 
Back
Top Bottom