Bila hii mbinu/sanaa maisha kamwe hayatoenda, endelea kujifunza.

Bila hii mbinu/sanaa maisha kamwe hayatoenda, endelea kujifunza.

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Unafiki ni sanaa muhimu sana katika maisha, rafiki yangu aliwahi kuniambia MAISHA BILA UNAFIKI HAYAENDI, nilimuona mjinga na mshamba na limbukeni mkubwa. Ila kwa sasa nimerealize kweli maisha bila unafiki hayaendi.
Kila binadamu ni mnafiki japo tunatofautiana level za unafiki.
Kama hii sanaa hauna anza kujifunza, utakuja kunishukuru.
Unafiki unalipa.
 
Unafiki kujifanya rafiki ilihali ni adui. Kusema hili ilihali silo lililomoyoni.

Kwangu unafiki hapana... Unafiki nitakaokufanyia ni kukubaliana na usemacho pale nitakapoona hautaki kukubaliana na usemacho ili kurpusha mengi. Na huu sio unafiki ila ni kukubali tofauti za wengine.

Dini zinakata unafiki....kama unajua unaufanya unafiki ni vyema ukaacha.
 
Jifunze unafiki Mkuu
 
Nataka kujua,

Jana nimelipia king, amuzi cha stertimes kifulushi cha mambo Clouds tv sijaiyona mwenye kufaamu Anijuze.
 
Back
Top Bottom