^Eti sisi milioni 61 ni mandondocha kuliko Waarabu wa Dubai!^ ~alisikika John HecheNdio serikali ya ccm ilishindwa kufanya hivi mpaka walete waarabu wa oman!😁😁😁🚮
Sijaelewa hapo wananchi wenye kipato cha chini wanaumiaje
Ila wabongo wanadeka sana. Eti matumizi ya kadi yanaweza kuwa changamoto kwa watu wa vipato vya chini. Kwani wamepandisha nauli? Mi naona imebaki buku ile ile…Kuanzia leo Julai 1, 2025, huduma ya Mabasi ya Mwendokasi jijini Dar es Salaam imesitisha rasmi matumizi ya tiketi za karatasi kwa abiria wa kawaida na kuanza kutumia mfumo wa kadi maalum zenye salio.
Abiria sasa wanatakiwa kuwa na kadi hizo, zitakazopatikana katika kwa shilingi elfu moja na kujazwa salio katika vituo mbalimbali vilivyokuwa vikitoa tiketi.
Hali hiyo imeibua mtazamo tofauti kwa baadhi ya abiria, hususan maeneo ya Morogoro Road, ambao wamedai hawakufahamu kuhusu mabadiliko hayo mapya. Wengine wamesema mfumo huo mpya unaweza kuwa changamoto kwa wananchi wa kipato cha chini.
Wafanyakazi wa vituo vya Mwendokasi wameeleza kuwa tiketi za karatasi zitaendelea kutumika kwa wanafunzi pekee. Vituo kama Mbezi Mwisho, Kibanda cha Mkaa, Kwa Msuguli, Temboni, Suka na Stop Over vimewekewa mashine maalum za kuskani kadi.
Wanaumia kwa kuuziwa Kadi 1000.Sijaelewa hapo wananchi wenye kipato cha chini wanaumiaje
Yani nilinunua kadi kwa elfu tano leo hii wanauziwa buku wanasema wanakipato cha chini.Kuanzia leo Julai 1, 2025, huduma ya Mabasi ya Mwendokasi jijini Dar es Salaam imesitisha rasmi matumizi ya tiketi za karatasi kwa abiria wa kawaida na kuanza kutumia mfumo wa kadi maalum zenye salio.
Abiria sasa wanatakiwa kuwa na kadi hizo, zitakazopatikana katika kwa shilingi elfu moja na kujazwa salio katika vituo mbalimbali vilivyokuwa vikitoa tiketi.
Hali hiyo imeibua mtazamo tofauti kwa baadhi ya abiria, hususan maeneo ya Morogoro Road, ambao wamedai hawakufahamu kuhusu mabadiliko hayo mapya. Wengine wamesema mfumo huo mpya unaweza kuwa changamoto kwa wananchi wa kipato cha chini.
Wafanyakazi wa vituo vya Mwendokasi wameeleza kuwa tiketi za karatasi zitaendelea kutumika kwa wanafunzi pekee. Vituo kama Mbezi Mwisho, Kibanda cha Mkaa, Kwa Msuguli, Temboni, Suka na Stop Over vimewekewa mashine maalum za kuskani kadi.
Unazo ngapi hadi sasaSasa naona hizi wallet zitajaa cards
hua wanazima makusudi umeme ili mitambo isifanye kaziKadi nzuri sana,janja ya wale wachana tiketi itakua imeishia hapo