Wakati unajiunga nao na wakati upo nao walikutambuaje?Naandika ujumbe huu nikiwa mwenye masikitiko kutokana na uamuzi wa chuo kikuu dodoma kuhitaji kitambulisho cha taifa,leseni ya udereva au kadi ya mpiga kura ili uchukue cheti.
Binafsi sina hivyo vitu vyote nimefatilia kitambulisho cha taifa wameniambia kupatikana sio leo wala kesho kuna watu wanazaidi ya mwaka awajawai kupata.Sio kila mtu ana reseni ya udereva kwangu mimi sijui hata gari inaendeshwaje.Sijawai kupiga kura sina hizo kadi zao.
Nitoe wito kwa Udom kutumia mbinu nyingine au kuwasiliana na Mamlaka ya vitambulisho vya taifa ili tupate msaada.
Ajira zimekua adimu na ninyi mnaleta kauzibe.
Kwenye orodha yao hakuna pasi ya kusafiria?
Wewe umesoma chuo kweli? Mbona una mambo ya ajabu.My vote does not count,siwezi kupoteza valuable time kutafuta kadi ya mpiga kura wakat mshindi tayari ameshapangwa.Kila kitu na wakat wake ndugu sidhani kama ilikua sahihi kwangu kuacha masomo yangu kwenda kutafuta vitambulisho.
Vijana wa sasa hivi wanatembea wallet hazina hela,hata vitambulisho pia hawana hata kimoja,zaidi ya condom tu ndo walizonazoDuh pole. Ila na wewe kwa miaka ya sasa unakosaje viambatanisho hivyo? Tatizo mnadharau mambo ambayo hamjui impact zake huko mbeleni. Kwa mfano wewe naamini uchaguzi wa 2015 ulikuwa above 18yrs kwa nn hukuwa na kadi ya kura? Bado vitambulisho wa uraia navyo vimetolewa tena bure eti huna. Ngoja mjifunze wakati mwingine iwe tuwe on right truck.
Sent using Jamii Forums mobile app