Actually its a very accurate statement, the chances of getting aids from normal non high risk heterosexual intercourse are highly exaggerated.
Kufanya NGONO bila kinga ni kujihakikishia maambukizi ya UKIMWI/VVU! Kaitaba, michubuko inayooogelewa na wataalam ni "microscopic". Chukua pilipili jipaka kwenye uume and utakuja fahamu kuwa aina ya michubuko inayoongelewa!
Kanga u can not get AIDS from sexual intercourse! You normally get HIV which later develops into AIDS....come up with facts huenda ukasaidia hii vita ya hili gonjwa! ur lying the audience smoothly.....
"A study published in 1994 in The New England Journal of Medicine looked at 256 heterosexual mixed status couples. Of the 124 couples that consistently used condoms, none of the HIV-negative partners were infected. Among the 121 couples that did not consistently use condoms, 12 (about 10 percent) of the HIV-negative partners became infected. Additional studies found similar results."
So again idea ya "tendo moja" is mostly a scare tactic.But, it is believed that in the vast majority of cases, repeated exposure to the virus through multiple acts of intercourse is necessary for transmission to take place."
The actual chance of becoming infected with HIV during a single sexual experience - even with a partner who is known to be HIV-positive - is rather low: one study put the chance for a woman becoming infected by an HIV-positive male through vaginal sex at 1 in 1000.
Watu wengine huwa wanatumia condom vizuri tu wakipewa katika maumbile mahususi, ila wakipewa tiGO watu hao hao hawavai condom
Nakubaliana na wewe 50%. Lakini kinachonistua ni hiyo MPENZI?Kwa nini usiseme MKE/MUME Mmoja ambaye hajaambukizwa?
HAhahahahah tiGo si mchezo wewe!
By default, michubuko huwa ipo hata kabla hamjakubaliana!
Michuniko huwa ipo na silazima uione kwa macho ya kawaida! kitendo cha kufanya ngono bila kinga na kukutana na body fluids za ukeni kama partner ni muathirika uwekezakano wa kupata ambukizo ni mkubwa hasa kama hakukuwa na foreplay za kutosha kumuandaa mwanzako. Mipasuko na michuniko ipo midogo midogo ambayo hutokea hata unapoejaculate, katika hali ya kawaida huwa haionekani. Pima afya yako baada ya miezi sita na siku nyingine tumia kinga.
Na vipi kama mtu amepimwa akaonekana hana virus, lakini ameambukizwa siku chache zilizopita na virusi havijaweza kuonekana kwenye vipimo, anaweza kuambukiza wenzake?
kawaida ya kondomu ni kuzuia usipate ukimwi, inakuzuia kwa kukukinga na michubuko iwapo itatokea usipate ukimwi, Swali ni, je! kama sijatumia kondomu lakini sikuchunika naweza kupata ukimwi?,
Huwezi kujua kila mara kama umechunika au la kwa sababu si kila mchuniko huonekana kwa macho. Na pia si lazima virusi uvipate kupitia mchubuko wa ngozi. Maji maji ya ukeni pia yanaweza kuingia mwilini kwa kupitia urethra.
kwani majimaji ya ukeni au damu ndio vinasababisha ukimwi naomba msaada mkuu na mwanamke na mwanaume yupi anahatari ya kuambukizwa zaidi ni kimanisha mfano mwanamke kaathirika mwanaume mzima yupi yupo kwenye hatari ya maabukizi zaidi
Asilimia kubwa ni kupitia ngono na hasa pale unapochubuka au kuchunika katika ile kazi kwani damu nyingi ujaa kwenye uume na kuwa kama balloon hivyo likitoboka kidogo tu damu inatoka. Ndio maana kuna utafiti una matokeo kuwa waliotairiwa wana uwezekano wa kukwepa HIV kwa sababu ngozi ya kuchwa inakuwa ngumu kidogo na lili limfuko lina mishipa mingi midogomidogo ya damu huwa limeondolewa. Pia kwenye maandalizi ya ngono kuna mambo kama tongue kiss hakikisha hamna michubuko, pia kupima 'oil' hakikisha dip stick haina michubuko!