Bila kuchunika kuna ukimwi?


thanks kwa jb zuri mkuu
inamana kama akuna msuguano wa mda mrefu kwa mwanaume anayekojoa haraka uwezekano wa maambukizi ni mdogo sana
 
Kwa wale wanaopata vimwana wapya na kuanza kusafisha kwa kunyoa ni hatari sana. Unatakiwa ukinyoa ukae wiki moja bila kukutana mwanamke otherwise hata kama umevaa condom umekwisha!!! Bado kunakuwa na michubuko!!!!!!!!
 
Lakini pia kwa mwanamme ambaye hajatahiriwa ana uwezekano wa kupata maambukizi kwa 60% bila ya kujali kama amepata michubuko kutokana na ulaini wa maumbile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…