BIG THINKER
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 680
- 1,436
Nimekuwa mfatiliaji mzuri wa hili sakata la bandari, nimewasikiliza wanaopinga na wanaounga mkono swala hili, bila KUEGEMEA upande wowote nimekuja na haya yafuatayo;
1)Huu msuguano wa bandari unaoendelea nyuma yake Kuna masilahi ya watu yanatetewa.
2) Propaganda nyingi zinazopigwa ni za watu kutengenezwa, na kulipwa pesa nying Ili kuwa upande frani wa hili swala.
3)Usipokuwa makin unaweza ukawa mpiga kelele kwa faida ya watu wengine wenye maslahi makubwa na hili jambo bila wewe kujitambua.
Maswali chochezi
1/ kwann hadi Sasa rais hajalizungumzia hili swala kwa mapana yake Ili Kuondoa nsitofahamu kwa wananchi!?
2/Kwann watu wanaofahamika wanakona nying ila wako nyuma ya SERIKALI swala hili wanalipinga kupitia watu wengine!?
3/ kwann upinzani kwa ujumla wake ndiyo wako mbele kwenye KUPINGA swala hili!?
4/Nan alivujisha mikataba!? Na kwa masrahi ya Nan!?
Mwisho wa part .......
Muda SI muda nakuja kuendea na part 2 nikijib swal Moja baada ya jingine mwisho nitatoa msimamo wangu binafsi kwenye hili swala.
Like nying zitanifanya niwah kwa mwendelezo wa huu uzi