Uchaguzi 2020 Bila kufumbua haya CCM, kampeni mnapoteza muda

Uchaguzi 2020 Bila kufumbua haya CCM, kampeni mnapoteza muda

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Moja kwa moja kwenye mada.

Hii ni kukupeni taarifa kabla ya habari.

Kemeeni engua engua za wagombea. Msijitenge na kilio hiki ambacho hakuna asiyeona rafu hizi za wazi.

Upuuzi wa kufanikisha kuwapitisha kina kawudi bila kupingwa haukubaliki.

La zaidi kabisa, kama mgombea wenu si:

IMG_20200804_210728_515.jpg

ushauri wa bure: mnapoteza muda wenu na pesa bure.

Fahamuni vyema, uhuru wetu hauna mbadala.

Mko bado na muda wa kujirekebisha.

Yetu macho. Yetu masikio.

Tuonane Oct 28.

Hapendwi mtu.
 
Watanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.

Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,.

Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na yasiyo na dhamana.

Huyu mtu hatufai kabisa
 
Taarifa baada ya habari haisaidii. Hii ni kabla.

Ajaribu kujirekebisha, mtanzania ni mwenye kusamehe.
 
Back
Top Bottom