gabylovestech
Member
- Jul 13, 2025
- 20
- 50
Pamoja sana mkuuWakuu mwaka 2025, zana za akili mnemba (AI) imechukua kasi kubwa kwenye kazi zetu za kila siku kuanzia kuandika, kutengeneza picha, hadi sauti na mawasilisho.
swali kubwa linabaki: Je, ni bora kutumia tools za bure au za kulipia?
Leo nakuletea tools bora Paid vs Free AI tools kwa matumizi ya
Kwa Research na Kujifunza
• Paid: ChatGPT.com – binafsi naitumia sana nzuri kwa kuandika makala, contents,coding na mengineyo.
• Free: DeepSeek.com – Bure kabisa na inatoa majibu ya kina kwa tafiti mbalimbali.
Kwa Kutengeneza Sauti (Voice Generator)
• Paid: Synthesia.io – inatengeneza video zenye sauti ya AI inayofanana na mtu halisi.
• Free: RecCloud.com/text-to-speech-online – inadilisha maandishi kuwa sauti bila kulipia.
Kwa Kuondoa Watermark kwenye Picha
• Paid: Fotor.com – ni premium kuondoa watermark.
• Free: Cleanup.pictures – Bure na inafanya kazi haraka.
Kwa Kutengeneza Picha za AI
• Paid: Midjourney.com – picha zake ni noma na zenye ubora wa juu.
• Free: Ideogram.ai – Bure, rahisi kutumia, na results nzuri.
Kwa Kutengeneza Presentations
• Paid: Beautiful.ai – Slideshow zenye mvuto na kali.
• Free: SlidesAI.io – Bure, weka text yako, AI itakutengenezea slides.
Kwa Uandishi
• Paid: Quillbot.com – Paraphrasing ya hali ya juu, grammar checking na style tofauti.
• Free: Scribbr.com – Uandishi wa kitaaluma bure, hasa kwa wanafunzi na watafiti.
Kwa Design
• Paid: Canva.com – Huduma kamili ya ubunifu, templates, brand kit na zaidi.
• Free: Designer.microsoft.com – Kutoka Microsoft, inasaidia kubuni bila gharama.
Kama unahitaji PROMPTS kali ili zikuletee matokeo mazuri basi tuma neno PROMPT kwenda whatsapp: 0694579000
Nitakutumia Bure kabisa.
Kabisa Mkuu, mimi leo nimemchoma mtu sindano kwa kufuata maelekezo ya AI tu. Na sasa hali yake inaendelea vizuri. Ma-dokta watapoteza kazi soon..Nzuri sana ila AI ni game changer juzi nimemfundisha dogo kemia na sijawahi isoma though ilikuwa kwa kumjibu maswali yake
Never do it againKabisa Mkuu, mimi leo nimemchoma mtu sindano kwa kufuata maelekezo ya AI tu. Na sasa hali yake inaendelea vizuri. Ma-dokta watapoteza kazi soon..
Very true, mimi nilijaribu calculus for a test ingawaje naijua, lakini ilichonifundisha hata mwalimu aliyenifundisha high school ni sifuriNzuri sana ila AI ni game changer juzi nimemfundisha dogo kemia na sijawahi isoma though ilikuwa kwa kumjibu maswali yake
MedGemma ai itakuwa game changer, sina uhakika madaktari watakuwa na kazi in five yearsKabisa Mkuu, mimi leo nimemchoma mtu sindano kwa kufuata maelekezo ya AI tu. Na sasa hali yake inaendelea vizuri. Ma-dokta watapoteza kazi soon..
Kama huna ujuzi wa hilo somo ni ngumu kujua kama AI imekupa matokeo sahihi.Otherwise prompts zitengenezwe na mtaalamu wa hilo somo.Nzuri sana ila AI ni game changer juzi nimemfundisha dogo kemia na sijawahi isoma though ilikuwa kwa kumjibu maswali yake
Jaribu hizo prompts Kwenye KIM AI af utupe matokeo. Kwa tathmini yangu KIMI hana uchoyo kulinganisha na deepseek au claude au chatgpt.Kakaaa NATAKA KUTENGENEZA msanii wangu asie binadam nmsimamie kurecord nyimbo na video kwa AI unazani ni app ipi itafanikisha hili kwa uharaka nmejaribu chatgp ILA inaniambia nisubiri BAADA ya masaa kadhaa kama mdau alivo SEMA HAPO JUU JE ntumie njia GANI mbadal kwa free na paid
Kwishaaa
Bro Alex on da beats yoow
Kwanini Mkuu?Never do it again