Bila mishahara walimu Tutashi vipi

Bila mishahara walimu Tutashi vipi

Realbest

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
812
Reaction score
300
Walimu tunaishije bila mishahara!? maisha magumu kmtaamtaa, nmechoka kukopa sasa mwlm ajira mpya
 
kama ulimaliza ya kujikimu ni kuolewa tu
 
mwisho wa siku unapata salary unalipa maden tu.....
 
Poleni, sirikali sikivu imesikia kilio chenu na inakishughulikia.
 
Poleni, sirikali sikivu imesikia kilio chenu na inakishughulikia.

Mkuu zile dola ishirini ishirini ambazo mama salma alikua agawawa msikitini kama njugu kwa nini msingezilpeleka kulipia madeni ya walimu????
 
Walim msikae kutegemea mishahara ni tatizo kubwa sana ukiishi kwa kuusikilizia mwisho wa mwezi, kazi yenu ina muda mwingi wa kufanya mambo mengi ya ujasiriamali ambao unalipa zaidi kuliko huo ualimu, anza sasa, kama hujui pa kuanzia nipm ili nikusaidie wazo.
 
safi saana mfuga kuku kwa maoni yako,unajua walimu nao ss hv wamekuwa km vipofu,unajua mi mwenyewe mwalimu najishughulisha kilimo cha bustani bt nimetumia nguvu nyingi sana kuwashawishi tutumie fursa za ujasiriamali tulizo nazo bt kama nampigia mbuzi gitaa,nadhani maisha ya madeni ndiyo walimu tuliyazoea ss km huyo mjomba akaendelee kukopa tu ila asiache kulipa atafungwa..
 
Ila pia serikali nayo imepoteza uelekeo wa kiuendeshaji.Mi nakushauri mjimba we banana na mkuu wako wa shule ysko pamoja na idara ya utumishi ktk halmashauri yako km wote hawana nsmna ya kukusaidia basi omba ruhusa ukapumzike zako nyumbani wasikuzingue.ukishaingia kwenye Payroll ndo urudi mzigoni.
 
Kumbe bora ya cc ambao 2mepangwa tangu june bt hd leo ha2jui hta v2o vye2 vya kazi kla cku halmashaur ina2piga trh wanadai majina hayajaingizwa kwny payroll. Pole kwa ww ulieko kazn na stil hupat mshahara ila vuta subira
 
Back
Top Bottom