safi saana mfuga kuku kwa maoni yako,unajua walimu nao ss hv wamekuwa km vipofu,unajua mi mwenyewe mwalimu najishughulisha kilimo cha bustani bt nimetumia nguvu nyingi sana kuwashawishi tutumie fursa za ujasiriamali tulizo nazo bt kama nampigia mbuzi gitaa,nadhani maisha ya madeni ndiyo walimu tuliyazoea ss km huyo mjomba akaendelee kukopa tu ila asiache kulipa atafungwa..