Bila Mshikamano wa Kitaifa, Tanzania tuitakayo itakuwa ndoto kuiona

Viongozi wakuu wa nchi hawataki umoja wanataka kujenga nchi peke yao ili sifa zote ziwaendee wao, tuwaache waendelee na mpango wao ovu kwa taifa.
 
Ikiwa CCM ilikuwa ikikubalika 100% je ilikuwaje kukawa na majaribio ya kupindua utawala? Je kwanini kama ilikubalika vyama vya awali vilifutwa badala ya kuachwa vife vyenyewe? Kwanini Kambona alikimbia nchi? Kwanini watu waliopinga wakiwa humohumo waliwekwa kizuizini?
Sisi wananchi tulitoa maoni ya kubakia na Chama kimoja....Kwa maoni yako CCM itekeleze maoni ya wananchi na kurejesha mfumo wa Chama kimoja?
 
Mshikamano wa nn, Hakuna haja ya mshimano. Mambo ya mshikamano ndo yanatuchelewesha haki walah
 
Our prosperity as a nation depends upon the personal financial prosperity of each of us as individuals
 
Mambo ya hovyo kabisa yanalifanya taifa kuwa la hovyo ndiyo maana tuna tawaliwa hovyo na watu wa hovyo hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…