Bila mwekezaji binafsi, SGR haina muda itahujumiwa

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
1. Wenzetu sijui huwaza nn? Yaan mradi wa SGR uendeshwe na TRC? Kutoboa Sana miezi 6 kila kitu kitakua Mochwari.

2. Tafuteni mwekezaji mwenye uzoefu wa hizo kazi. Gautrain South Africa zaidi miaka 14 inapeta. Hakuna siasa mule
 
Mbona wameishaambiwa wake wewekeze,,wanunue vichwa na mabehewa haragu watumie miundo mbinu
 
Tuna mifumo mibovu sana naionea huruma hizo pesa zilizo wekwa hapo sisi ni zaidi ya wazembe
 
1. Wenzetu sijui huwaza nn? Yaan mradi wa SGR uendeshwe na TRC? Kutoboa Sana miezi 6 kila kitu kitakua Mochwari.

2. Tafuteni mwekezaji mwenye uzoefu wa hizo kazi. Gautrain South Africa zaidi miaka 14 inapeta. Hakuna siasa mule
Mimi nilidhani kuwa tayari; matukio mawili ndani ya wiki!
 
Jamani basi mmesikika. Tunasubiri matokeo ya dua zenu mradi ufe ndani ya hio miezi sita. Ila kwa sasa wakati mnaendelea kuponda ka kuombea ife wacha sisi wengine tuemdelee kupanda wakati bado ipo,
 
Back
Top Bottom