Bila Mwina Kaduguda Simba mtateseka sana

Bila Mwina Kaduguda Simba mtateseka sana

bahatibahati

Member
Joined
Jul 4, 2023
Posts
44
Reaction score
84
Jul ndo ukweli kwani klabu ya Simba imeingia kwenye mgogoro na MWINA KADUGUDA aliyewahi kuwa katibu wa Simba kutkana na matamshi kwamba Simba inasajili wachezaji wa kiwango cha chini.

Nawatahadharisheni viongozi kaeni na huyo made mezani haraka.
 
Yaani kwa Simba hii kweli ilihitaji mpaka Kaduguda aongee!!
Simba hii ata mashabiki wanajua kua ni mbovu na ilitumika juju ya Hali ya juu kuingia makundi bila kushinda ata mechi Moja.
Ni machawa pekee wa uongozi ndio Bado wameshikilia Bomba kulinda matumbo Yao.
 
ACHA UPUMBAVU WEWE FICHA UJINGA WAKO.

MATATIZO YA SIMBA NI MFUMO SIO DALALI WALA SENZO WALA KADUGUDA.

TUMEISHA WAAMBIA KUANZIA.

1. UWEKEZAJI.
2. UONGOZI.
3.WACHEZAJI

msijaze seva za jamii Forum
 
KARIBU JAMII FORUM.

Hujui kuandika.

HAPA NI HOME OF GREAT THINKERS.
 
Jul ndo ukweli kwani klabu ya Simba imeingia kwenye mgogoro na MWINA KADUGUDA aliyewahi kuwa katibu wa Simba kutkana na matamshi kwamba Simba inasajili wachezaji wa kiwango Cha ching.
Nawatahadharisheni nuke viongozi kaeni na huyo made mezani haraka.
Kaduguka kaongea hilo juzi tu, wakati tayari ilishaonekana Simba inachechemea tokea huko nyuma
 
Huyu Simba anaelekea msituni kwenye makazi yake ya asili
 
Mwina Kaduguda na ushindi wa Mashujaa leo
 
ACHA UPUMBAVU WEWE FICHA UJINGA WAKO.

MATATIZO YA SIMBA NI MFUMO SIO DALALI WALA SENZO WALA KADUGUDA.

TUMEISHA WAAMBIA KUANZIA.

1. UWEKEZAJI.
2. UONGOZI.
3.WACHEZAJI

msijaze seva za jamii Forum
Umemwambia ukweli si ajabu yeye kaduguda kaja na I'd mpya, hayo mambo matati uliyotaja ndio ni tatizo.
 
Jul ndo ukweli kwani klabu ya Simba imeingia kwenye mgogoro na MWINA KADUGUDA aliyewahi kuwa katibu wa Simba kutkana na matamshi kwamba Simba inasajili wachezaji wa kiwango Cha ching.
Nawatahadharisheni nuke viongozi kaeni na huyo made mezani haraka.
Huyo ndio gwiji wa ushirikina pale simba ungeniambia marehemu hans pop ningekubaliana nawew
 
Unawahi wapi ndug mwandishi, calm down, una hoja ila acha pupa.
 
Jul ndo ukweli kwani klabu ya Simba imeingia kwenye mgogoro na MWINA KADUGUDA aliyewahi kuwa katibu wa Simba kutkana na matamshi kwamba Simba inasajili wachezaji wa kiwango cha chini.

Nawatahadharisheni viongozi kaeni na huyo made mezani haraka.
Mwalimu wangu wa kiswahili aliwahi kunifundsha methali zfuatazo:
1.sikio la kufa halisikii dawa
2.Asiye sikia la mkuu huvunjika guu
3.Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu
4.Ujanja mwingi mbele kiza
 
Maneno ya Mwina Kaduguda ni ya kuwekwa kwenye kumbukumbu.
Mwina anasema ukweli kuhusu Simba, sio mnafiki.
Na anauchungu sana na Simba.
Hivi nani aliwasajiri Fredi na Jobe?
Aliwaona wapi wakicheza mpira?
Aliwapa shilingi ngapi?
Mbona hawazidi washambuliaji wa Mashujaa fc.
Mbona kuna akina Jobe wengi wako Tandika.?
Kwanini wasajiri wa Simba hawaendi Tandika?
 
Sisi mashabiki wa simba kwa pamoja tunayaunga mkono maneno ya kiongozi wetu wa zamani Mwina Kaduguda.

Yeyote atakayepinga, basi huyo ni shabiki mbumbumbu.
 
Jul ndo ukweli kwani klabu ya Simba imeingia kwenye mgogoro na MWINA KADUGUDA aliyewahi kuwa katibu wa Simba kutkana na matamshi kwamba Simba inasajili wachezaji wa kiwango cha chini.

Nawatahadharisheni viongozi kaeni na huyo made mezani haraka.
huyo mwina msimuamini kabisa
 
Back
Top Bottom