bahatibahati
Member
- Jul 4, 2023
- 44
- 84
Kaduguka kaongea hilo juzi tu, wakati tayari ilishaonekana Simba inachechemea tokea huko nyumaJul ndo ukweli kwani klabu ya Simba imeingia kwenye mgogoro na MWINA KADUGUDA aliyewahi kuwa katibu wa Simba kutkana na matamshi kwamba Simba inasajili wachezaji wa kiwango Cha ching.
Nawatahadharisheni nuke viongozi kaeni na huyo made mezani haraka.
Umemwambia ukweli si ajabu yeye kaduguda kaja na I'd mpya, hayo mambo matati uliyotaja ndio ni tatizo.ACHA UPUMBAVU WEWE FICHA UJINGA WAKO.
MATATIZO YA SIMBA NI MFUMO SIO DALALI WALA SENZO WALA KADUGUDA.
TUMEISHA WAAMBIA KUANZIA.
1. UWEKEZAJI.
2. UONGOZI.
3.WACHEZAJI
msijaze seva za jamii Forum
Huyo ndio gwiji wa ushirikina pale simba ungeniambia marehemu hans pop ningekubaliana nawewJul ndo ukweli kwani klabu ya Simba imeingia kwenye mgogoro na MWINA KADUGUDA aliyewahi kuwa katibu wa Simba kutkana na matamshi kwamba Simba inasajili wachezaji wa kiwango Cha ching.
Nawatahadharisheni nuke viongozi kaeni na huyo made mezani haraka.
Mwalimu wangu wa kiswahili aliwahi kunifundsha methali zfuatazo:Jul ndo ukweli kwani klabu ya Simba imeingia kwenye mgogoro na MWINA KADUGUDA aliyewahi kuwa katibu wa Simba kutkana na matamshi kwamba Simba inasajili wachezaji wa kiwango cha chini.
Nawatahadharisheni viongozi kaeni na huyo made mezani haraka.
huyo mwina msimuamini kabisaJul ndo ukweli kwani klabu ya Simba imeingia kwenye mgogoro na MWINA KADUGUDA aliyewahi kuwa katibu wa Simba kutkana na matamshi kwamba Simba inasajili wachezaji wa kiwango cha chini.
Nawatahadharisheni viongozi kaeni na huyo made mezani haraka.