wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Ukitaka kuamini haya angalia mpaka leo waafrika wanakimbilia zaidi nchi zipi bila kuhofia hata dini au rangi zao ? wanapewa zaidi misaada ukiachana na mikopo na nchi zipi ? kwanini mwafrika wanapenda zaidi kufanya kazi kwa wazungu?
Africa hata kuwa na nchi zake baada ya ukoloni ni kama muujiza
UTUMWA
Utumwa upo tangu zamani kabla ukinza kwetu sisi kwa sisi waafrika mfano wakinga walitumikishwa kwa muda mrefu tu na hapo baadae nao wakinga walitumikisha wasafwa baadhi ya maeneo, Waarabu nao walikuja kututumikisha hawa walikuwa katili zaidi walihasi wanaume wanaoenda uarabuni ndio maana ni nadra sana kukuta mabaki ya watumwa waafrika huko, Wakaja wazungu waliotutumikisha lakini walileta mapinduzi makubwa ya haki na kutokomeza utumwa, ndio walioanza harakati za haki za watumwa mfano hawakuhasi wanaume ndio mana hadi leo nchi kama Marekani kuna mabaki, waliweza kuelimisha, kuwaajiri kazi za kitaaluma na baadae kutokomeza biashara uaya utumwa na kukubali nchi za Afrika ziwe huru mfano kwa hapa Tanzania uhuru ulipatikana kistaarabu kwa amani kabisa
Biashara ya utumwa ingeendelea mpaka sasa, waarabu ilikuwa ngumu sana kuwashinikiza waiache ndio maana hadi sasa ukienda nchi kama libya bado ipo, hata huko uarabuni tunasikia visa kibao vya wabongo kunyanyaswa kama watumwa hasa wale wa kazi za ndani, na hapa kwetu nako hali si tofauti sana kumekuwa na malalamiko ya mishahara kiduchu msuli tembo na kunyanyaswa kwenye viwanda cya waarabu, wahindi, n.k. kuna kesi kibao za unyanyasaji.
UBAGUZI
Kwenye ubaguzi nchi zilizo mstari wa mbele kukemea na hata waafrika kuwa huru ni za wazungu mfano Marekani na nchi za ulaya humpa kipaumbele kwenye ajira mtu mweusi lakini nchi za uarabuni, india, china, n.k. uubaguzi upo lakini nguvu kudogo sana ya kukemea.