bongodili tele
JF-Expert Member
- Jun 8, 2024
- 1,520
- 3,022
Bora mkoloni mweupe kuliko mkoloni mweusi.Vijana wa siku hizi wengi ni shallow minded sana. Critical thinking hamna, unamsifuje mzungu aliyeitumikisha afrika kibepari for a century plus. Nani kakwambia uhuru walikupa? Uhuru ulipiganiwa sana tena kwa vifo vingi usichokijua. Afrika kusini ndo mkondo uliisha 1994, kacheki video of that struggle , nguvu yako ww ni huyo mgunya, mnyaturu , mganda , mkenya, mrwanda nk. Yaani yyte mweusi.
Cha mwisho mzungu hakushindi na kitu chochote , uongozi wetu ukinyooka tu chenga yao kwisha , proof angalia China in 30 years walipo
Maisha ya mwafrika yalikuwa na afadhali kabla ya Uhuru.
Ubepari ndio mfumo sahihi hata Mwenyezi Mungu anaubariki, faida za ubepari kila mtu anapata ajira na Kodi inaongezeka.
Ujamaa ni mfumo wa kuwafanya wengi wawe masikini ili waweze kutawaliwa.