City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Uwe unasoma kwa utulivu utakuwa unaelewa.Crazy Kabisa. Mafanikio ya RMA yamekuwepo kwa miongo mingi sana kabla ya Ronaldo.RMA ni timu kubwa sana huwezi kuilinganisha na mtu mmoja. Anway kwa nyie mlionza kushabikia mpira mwaka juzi lazima muwe na mawazo haya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kakurupuka kujibu usichouliza wala kuandika, na huu ndio uthibitisho wa ulichoandika.Uwe unasoma kwa utulivu utakuwa unaelewa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa mkuu hapa umejibu nini,si bora ungepga kimya tu.Crazy Kabisa. Mafanikio ya RMA yamekuwepo kwa miongo mingi sana kabla ya Ronaldo.RMA ni timu kubwa sana huwezi kuilinganisha na mtu mmoja. Anway kwa nyie mlionza kushabikia mpira mwaka juzi lazima muwe na mawazo haya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mchungu lakini Real Madrid bila Ronaldo its not the SAME real Madrid....!! May b its real betis nowCrazy Kabisa. Mafanikio ya RMA yamekuwepo kwa miongo mingi sana kabla ya Ronaldo.RMA ni timu kubwa sana huwezi kuilinganisha na mtu mmoja. Anway kwa nyie mlionza kushabikia mpira mwaka juzi lazima muwe na mawazo haya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni frustration tu, hii ilitokea miaka 10 iliyopita ktk ile defeat ya game 5 ndio kukawa na low turn out ya fans.Huo ni upepo tu utapita hao mashabiki walitegemea huyo ronaldo acheze mpaka anamiaka 60?? Si walijua kuna mda atasepa tu iwe kwa kuuzwa au kuzeeka. Hao wamenuna tu kama watoto wa kike lakini soon mnuno utaisha watakumbuka kumbe they love footbal more than players...na watarudi tu....
Sent using Jamii Forums mobile app
😱Ukweli mchungu lakini Real Madrid bila Ronaldo its not the SAME real Madrid....!! May b its real betis now
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko ok.
Galacticos au siyo 🙂Mbape ,neymar wanahtajika
FactUmuhmu wa mtu huonekana pale anapotoweka au kuondoka sehem, Cyo siri Ronaldo ndio alikuwa anaipa jina Madrid.
Sent using Jamii Forums mobile app
RMA bila RONALDO ni kazi bure ,ndo mana imepoteza mafans na itapata tabu Sana ok,ko be careful with your heart.Crazy Kabisa. Mafanikio ya RMA yamekuwepo kwa miongo mingi sana kabla ya Ronaldo.RMA ni timu kubwa sana huwezi kuilinganisha na mtu mmoja. Anway kwa nyie mlionza kushabikia mpira mwaka juzi lazima muwe na mawazo haya.
Sent using Jamii Forums mobile app