City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Ni mashabiki 48,466 tu waliojitokeza katika dimba la Santiago Bernabeu kushuhudia mechi ya kwanza ya msimu wa La liga kwa upande Madrid.
Mara ya mwisho kupata mahudhurio hafifu ilikuwa ni miaka kumi iliyopita msimu wa 2008-09.
Katika mechi hiyo dhidi ya Getafe, Madrid waliibuka na ushindi wa goli 2-0. Wafumania nyavu walikuwa ni D.Carvajal na G.Bale.