jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Suala la uhamisho kwa watumishi wa umma limekua kero kubwa hasa baada ya ujio wa mfumo wa ess,ambapo sasa maombi yote ya uhamisho hufanyika katika mfumo huu.
Tangu kuanza kwake hadi sasa kumekua na malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wanaaomba uhamisho kupitia mfumo,ambapo pamoja na malalamiko hayo hakuna suluhisho ya utatuzi wa malalamiko hayo.
Hali hii imepelekea watumishi wengi wa umma kukata tamaa na wengi kutapeliwa na wengine kuhama kupitia njia za mkato kwamaana ya kutoa rushwa.
Kwa sasa kuhama bila kutoa kitu kidogo(rushwa) ama kuwa na konnekisheni imekua ni suala gumu sana.
Hivyo tunaomba mamlaka za uhamisho zitoe muongozo na bei elekezi kwa watumishi wote walioomba uhamisho ili wafahamu na wasiweze kutapeliwa na vishoka.
Pia nashauri kiwe chanzo cha mapato badala ya fedha hizo rushwa kuingia mifukoni mwa wachache basi ziingie serikalini ziwasaidie wananchi.
Inasiktisha sana kuona familia zinateseka na ndoa kuvunjika,watumishi kufanya kazi wakiwa wamejikatia tamaa kisa kukosa uhamisho ambao ni haki ya mtumishi wa umma.
Mamlaka zinazosimamia suala hili ebu sikilizeni na mtatue changamoto hiii mana watumishi wa umma ndio nguzo ya utendaji kazi wa serikali.