BILA SANAA INGEKUAJE; hawa ndio wasanii wa bongoflava ambao zamani walikua wezi

Will i.a.m

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
347
Reaction score
49
1.NEY WA MITEGO


huyu aliwahi kua mwizi wa mifukoni katika pilka zake za maisha maeneo ya manzese ila aliacha na kujikita kwenye muziki sasa anmudu maisha yake kw akazi ya halali
SOURCE
yeye mwenyewe katika interview ya redio
2.JUMA NATURE



huyu kabla ya kujishugulisha na shuguli za upondaji kokoto pale kunduchi aliwahi kushiriki kwenye vitendo vya wizi maeneo ya temeke
SOURCE
yeye mwenyewe kupitia nyimbo yake ya history na mahojiano ya gazeti na interview
3.MADEE


huyu yeye mwenyewe anathibitisha yote hayo kwenye wimbo wa histiry ambao yeye mwenyewe amekiri kua ni history ya kweli kwa asilimia 95 ukitoa lile tukio la kumbaka nuru amablo alilifanya rafiki yake na sio yeye
4 TUNDA MAN

HUYU AMEWAHI KUSHIRIKI KWENYE VITENDO VYA WIZI KWA MDA MREFU SANA MAENEO YA MANZESE NA VILE VILE ANA KIPAJI CHA KUCHEZA MPIRA NAFASI YA GOLIKIPA NA NI KIPA MAARUFU MAENEO YA MANZESE KUJICHANGANYA KWAKE MTAANI NA WAUNI WAMASKANI KUKAMFANYA AINGIE KWENYE WIZI LAKINI SASA AMEACHA NA ANAENDELEA KUPATA KIPATO CHA HALALI
 
Napita hapa aisee! Ngoja waje wenyewe!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kusindikizia hii thread,
Tafuta wimbo wa Bila Sanaa - Imam Abbas, muokozi wa mitaa ya kati.
 
Kusindikizia hii thread,
Tafuta wimbo wa Bila Sanaa - Imam Abbas, muokozi wa mitaa ya kati.
Mimi nilijua anamuelezea Imam Abbas pamoja na hii ngoma yake kumbe ni hawa watoto wa Manzese.
 
Kwa taarifa yenu mtu yeyote mwenye babu na bibi manzese,temeke,tandika na maeneo mengine yafananayo (mzaliwa halisi)wizi hasa wa maguvu ni moja ya umaarufu wa kawaida katika familia!
 
Tundaman alikuwa kipa wetu forodhani secondary tulikuwa tunamuita barthez kumbe mpira ukiisha anaenda kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…