ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Leo ndio ile siku ambayo Tuzo za MT mama zinatolewa na wasanii kibao washafika south Africa
Interview nyingi zinaendelea huko South Afrika lakini ni ukweli usio Pingika kwa kinacho Endelea Huko Ali kiba bila Sauti Soul si lolote si chochote! Sauti soul wanarudi kwa Mara ya pili katika tuzo hizo kubwa Afrika huku Ali Kiba Akienda kwa Mara ya kwanza kupitia kushirikishwa na Sauti soul katika wimbo wao!
Japo wengi wanasema huo wimbo ni wa sauti Soul na Ali kiba lakini kiukweli wimbo ni Wa sauti soul na Alikiba kashirikishwa tuuuu!!!
Mwisho wa siku tuwatakie Heri watanzania wote wanao wanania tuzo Hizo warudi na Tuzo zao Tanzania
TUkutane Sa 4 usiku leo kupitia MT base tuone show kali itakayo waamsha wote nadhani picha mshaanzaa kuziona!!!! Tuone leo Ali kiba atatumbuizaa baada na kabla ya nanii maana yeye anadai ni msanii mkubwa anastahili kutumbuiza mwishoni!
All the Best Diamond