Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Litajwe ķwa mazuri lakini mfano Tanźania amchàpa Senegal ģoli 5 bila katka michuano ya AFCONHakika mkuu na sisi mwaka huu angalau jina La nchi yetu litajwetajwe huko Afirika[emoji23][emoji23]
Home: mbambane 1 : 4 simbaHesabu zinawatupa Simba...
Simba wakiwa nyumbani wanashinda 2-1 au 1-0
Lakini wakitoka nje hawana lolote na hawajafunga goli ugenini.
Hii ina maana katika hatua ya robo fainali watafungwa 5-1 in agg
Well said mkuu..watu wanashindwa kutofautisha group stage na knockout stage..kwenye group stage timu zinaangali home advantage regardless of matakeo ya ugenini but in knock out stage inaangaliwa aggregate ya magoli so lazima timu icheze kwa nidhamu kubwa sana ikiwa away.Home: mbambane 1 : 4 simba
Away: mbambane 0 : 4 simba
Away: Nkana 2 : 1 simba
Home: simba 3 : 1 Nkana.
Kila stage ina aproach yake, kwa akili yako Hizo game za knock out stages simba inaweza kwenda ugenini kucheza attacking aproach? Group stage inahitaji mahesabu tu but knock out stage inahitaji kubalance ugenini na nyumbani, Nyumbu na Zahera wanajifanya wanajua haya mambo zaidi ya uchebe😂😂😂
We mfariji tu mwenzio knockout stage kule hakuna akn Nkana...watakataana wenyw haoWell said mkuu..watu wanashindwa kutofautisha group stage na knockout stage..kwenye group stage timu zinaangali home advantage regardless of matakeo ya ugenini but in knock out stage inaangaliwa aggregate ya magoli so lazima timu icheze kwa nidhamu kubwa sana ikiwa away.
We mfariji tu mwenzio knockout stage kule hakuna akn Nkana...watakataana wenyw hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweliHesabu zinawatupa Simba...
Simba wakiwa nyumbani wanashinda 2-1 au 1-0
Lakini wakitoka nje hawana lolote na hawajafunga goli ugenini.
Hii ina maana katika hatua ya robo fainali watafungwa 5-1 in agg
tunaocheza nao wamepiga kambi Misri,sisi tunaimba Mungu ibariki Tanzania,jamani tuwe serious basi.Huu mwaka umeanza kutujia vizuri kabisa na tunaanza kuyaona matunda ya juhudi zetu za "miaka nenda rudi" katika kujiinua kisoka.
Ni ukweli usiopingika, tumekuwa watazamaji kwa wenzetu kwa miaka mingi sana (japo mwaka 2009 tulibahatika kushiriki CHAN japo hatukufanya vizuri sana) ila nina imani Mwaka huu ni wa neema kwa Sisi Watanzania kisoka.
Ipo hivi,
KWANZA: Tumepata bahati ya kuandaa mashindano ya AFCON (U-17) yanayotarajiwa kuanza mwezi ujao (April) na kushirikisha nchi nane (8). Mashindano haya yatasaidia kutangaza soka letu (hasa la vijana) kimataifa na bila shaka maskauti wa Soka kutoka vilabu tofauti watakuwepo na vijana wetu watapata nafasi ya kuonekana na hatimaye kupata soko nje ya nchi Kusakata kabumbu.
PILI: Klabu ya soka ya Simba imetutoa kimasomaso Watanzania baada ya kutinga hatua ya robo Fainali ya michuano ya Klabu Bingwa barani Africa (CAFCL#2018/19) haya ni mafanikio makubwa sana kwetu Watanzania hasa ukizingatia kuwa vilabu vyetu vimefurukuta kwa miaka mingi kufikia hatua hii ila vimeshindwa. Japo wengi wetu tunachukulia "simple" but hii ni platform kwa vilabu vyetu kujengeka katika saikolojia ya "ushindi na mafanikio" bila kukata tamaa. Hongereni Simba, Watanzania tumefurahi na tunajivunia mafanikio yenu.
TATU: Timu yetu ya taifa "Taifa Stars" Jumapili hii ya tarehe 24/03/2019 inaenda kuandika historia mpya mbele ya Uganda "Cranes". Iwapo Taifa Stars itashinda mechi hiyo huku ikiiombea mabaya timu ya Lesotho dhidi ya Cabo Verdè, basi timu yetu itakuwa imefuzu kucheza AFCON 2019 Nchini Egypt. Uwezekano wa Taifa Stars Kushinda ni mkubwa kwa wachezaji wana ari na matumaini makubwa ya kuwaduwaza Waganda pale "Kwa Mkapa" Lakini pia hamasa ni kubwa sana kwa Watanzania ambao wana matumaini kwa timu yetu kufanya vizuri na hatimaye kufuzu AFCON tangu tulipofanya hivyo miaka 39 iliyopita yaani 1980 nchini Nigeria.
Mungu ibariki "Taifa Stars", Ibariki "Serengeti boys", Ibariki "Simba Sports Club", Ibariki Tanzania.
#2019NiMwakaWetu
#TanzaniaFirst
#TanzaniaForTanzanians.
#Amen
Home: mbambane 1 : 4 simba
Away: mbambane 0 : 4 simba
Away: Nkana 2 : 1 simba
Home: simba 3 : 1 Nkana.
Kila stage ina aproach yake, kwa akili yako Hizo game za knock out stages simba inaweza kwenda ugenini kucheza attacking aproach? Group stage inahitaji mahesabu tu but knock out stage inahitaji kubalance ugenini na nyumbani, Nyumbu na Zahera wanajifanya wanajua haya mambo zaidi ya uchebe😂😂😂
Si kweli
Simba 4 Mbabane 1; Mbabane 0 Simba 4 Aggregate Simba 8 Mbabane 1
Nkana 2 Simba 1; Simba 3 Nkana 1 Aggregate Simba 3 Nkana 2
Approach ya ligi ni tofauti kabisa na play offs
Nahisi mpaka sasa unamajeraha mengi mno na unataka ujipe jeraha lengine tena
Heshima nyingi kwako mkuu,Mara ya pili hii unatabiri sawia,ya kwanza ya Simba ya pili hii ya Taifa StarsHatimaye tumefuzu Afcon...kwa hakika huu mwaka ni wa mafanikio sana kwetu.