Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesikitika leo baada ya kumwona Mwanamziki ajulikanae kwa Jina la JAFFARAIH anaendesha gari ya Shyrose banj Toyota Herrier na anaingia kwake leo tarehe 6/8/2011!Kwajinsi alivyo mwanika kajamaa haya pydokj
hujambo mrembo?Acha umbea...mapenzi yao yanakuhusu nini?
Kama kweli imekugusa mbona huulizi iweje mwanaume karudi kwa mwanamke aliyesema hafai?!
Nimesikitika leo baada ya kumwona Mwanamziki ajulikanae kwa Jina la JAFFARAIH anaendesha gari ya Shyrose banj Toyota Herrier na anaingia kwake leo tarehe 6/8/2011!Kwajinsi alivyo mwanika kajamaa haya pydokj
hujambo mrembo?
...kama mbwa aliyenyeshewa!!Mbona kawaida tu, wapo pia wanaume walioapa kuwarudia wanawake zao, na badae wakawarudia na vichwa chini
mie mzimaSijambo mrembo mwenzangu...vipi wewe?!
mie mzima
sipendi post usiku manake nikifumaniwa na hii ID itakuwa ugomvi mkubwa

Acha umbea...mapenzi yao yanakuhusu nini?

Kama kweli imekugusa mbona huulizi iweje mwanaume karudi kwa mwanamke aliyesema hafai?!
Mida ya saa sita sita hivi basi dearest....usisahau na kasoda ka baridi ntahitaji!!

lizy kesho nitafute tukale mdudu, umenifurahisha sana!! Maana huu ni over umbea kufuatilia mambo ya watu!