Hilo ndo tatizo la kutokua mwanaume kamili... kuweza jisimamia na kutoa maamuzi ya msingi na kujenga maisha yako... yule dada namfahamu kwa ukaribu (via observation) She is a great woman ki Proffessional na utendaji wa kazi, she is really great! Hard worker ile mbaya... pamoja na kusema age does not matter (IMO it matters) bado naona haamini kua imefika wakati wa yee kutulia na kuishi umri wake... she is almost a chain smoker, bado anatupia weed once in a while and stuff... yaani anaishi maisha ambayo vijana wa kisasa/kibongo (i.e Jaffarai) wana husudu hivo kuachana kwao inamuathiri Jaffarai zaidi kuliko hata Shyrosse - na amini usiamini Kiiza, as much as ndio Mdada ana pesa na yaweza onekana ka vile Jaffarai anampendea pesa - Mi hio sikubali... Labda mwanzoni ilikua hivo but in time those two fell in love.... na hio ndo itawafanya the rise and fall of their relationship.... on and on and on....