Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Umesema vyema, LandSpace itakuwa kampuni ya pili ya China baada ya Spacesail zitakazoshindana na Starlink kwenye soko la satellite internetSisi tupo na chawa
Mmarekani ndio basi tenaUmesema vyema, LandSpace itakuwa kampuni ya pili ya China baada ya Spacesail zitakazoshindana na Starlink kwenye soko la satellite internet
Hapo sasa ni Starlink vs Landspace kwenye satellite internet
Hii battle itaenda kuwa kama ya Tesla vs BYD kwenye EVs
Vita ya kiuchumi na kiteknolojia kati ya China na Marekani bado mbichi sana
shida ni Chama Cha MatatizoSisi lini?