J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 685 Reaction score 1,124 Feb 27, 2023 #1 Umeme ni hitaji la Msingi katika kufikia na kutumia Teknolojia, ikiwemo Intaneti Kama Mwananchi unayetumia au kutegemea Digitali kwa shughuli mbalimbali, unaathirika kwa kiwango gani unapokosa Umeme?
Umeme ni hitaji la Msingi katika kufikia na kutumia Teknolojia, ikiwemo Intaneti Kama Mwananchi unayetumia au kutegemea Digitali kwa shughuli mbalimbali, unaathirika kwa kiwango gani unapokosa Umeme?
B BodGanleonid JF-Expert Member Joined Nov 14, 2022 Posts 3,021 Reaction score 4,330 Feb 27, 2023 #2 Kwani mgao umeanza tena? [emoji848]
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Feb 27, 2023 #3 Mpango wa solar vipi huko?